Mahafali ya ishirini na mbili Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa
Wahitimu wa Chuo Cha Taifa cha Hali ya Hewa mwaka wa masomo 2024/2025
Mh. mgeni rasmi Dkt.Emmanuel Mpeta ambaye ni mwenyekiti wa bodi ya chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa,katika zoezi la utoaji vyeti kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma katika mahafali ya 22 ya Chuo
Chuo kinakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa kusoma Cheti na Diploma katika Taaluma ya Hali ya Hewa yaani: Cheti cha awali (NTA Level 4), Cheti (NTA Level 5), Diploma (NTA Level 6) na Cheti cha awali NTA 4 na Cheti NTA 5 katika taaluma ya TEHAMA kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
SIFA ZA KUJIUNGA (HALI YA HEWA)
(a) CHETI CHA AWALI (Basic Technician Certificate (NTA Level 4)...
WMO Training Course on Radar Meteorology at the National Meteorological Training Centre (NMTC) of Tanzania Meteorological Authority to be held in Mwanza, United Republic of Tanzania from 26 to 30 August 2024. For more information click here