Huduma za Afya na Malazi
Huduma za Afya na Malazi
Chuo hakina huduma za afya, ila kipo karibu na hospitali ya rufaa ya maweni na vituo vya afya. Hivyo mwanafunzi aje na kadi ya bima ya afya na kwa wale ambao hawana bima ya afya (NHIF) waje na kiasi cha shilingi 50,400/=, kwa ajili ya kupatiwa kadi ya bima ya afya (NHIF).
Malazi
Mwanafunzi anaweza kupata nafasi ya malazi chuoni kwa kulipia kiasi cha shilingi 100,000/= kwa muhula na kiasi cha shilingi 200,000/= kwa mwaka.