Kozi za Mda Mfupi
Kozi za Mda Mfupi
Chuo cha Taifa cha hali ya Hewa kina programu za muda mfupi ambazo hutolewa kutokana na Maombi/mahitaji maalumu kama ifuatavyo;
- Mabadiliko ya tabia nchi kwa maendeleo endelevu
- Kozi maalumu za hali ya hewa mahususi kwa Usafiri wa anga
- Mbinu za uangazi katika taaluma ya hali ya hewa
- Matumizi ya taarifa za hali ya hewa katika kilimo
- Maarifa endelevu kwa ajili ya huduma za Utabiri wa hali ya hewa
- Ujuzi wa utangazaji wa hali ya hewa
- Mafunzo maalumu ya usimikwaji wa vifaa vya hali ya hewa na matumizi yake.
- Mafunzo ya TEHAMA
- Menejimenti ya mazingira