Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Awe amefaulu kidato cha sita katika masomo ya fizikia na hisabati kwa kiwango cha angalau ufaulu wa somo mojawapo na “subsidiary”. Awe na cheti cha NTA level 5 au cheti cha class III,katika ufaulu wa kuanzia pass

Ndiyo zipo kozi za muda mfupi na kuwajengea uwezo kwenye maswala ya hali ya hewa wageni mbalimbali wanaotembelea chuoni.

Chuo kinatoa Astashahada na Stashahada ya Hali ya Hewa.

Chuo kinapatikana Mkoa wa Kigoma katika manispaa ya Kigoma Ujiji.

Muombaji anaweza kuleta maombi ya kujiunga na chuo kupitia fomu za usajili zilizo kwenye tovuti ya chuo au kwa kuandika barua ya maombi kwa mkuu wa chuo. Muombaji atahitajika kulipia malipo yasiyo rejeshwa kama yalivyopangwa yaliyopangwa katika kipindi cha usajili