Wahitimu wa Zamani
Wahitimu wa Zamani
Wanachuo waliodahiliwa mwaka wa masomo 2015/2016 ni jumla ya wanafunzi 33, kati yao wanaume ni 28 na wanawake ni 5. Wanachuo wote walifanikiwa kumaliza masomo yao na kuajiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa.