Chuo kinatoa huduma ya ushauri wa usimikwaji wa Vifaa vya hali ya hewa kwa ajili ya kuongeza mtandao wa vituo vya hali ya hewa