Kozi zijazo

Chuo kinatarajia kuanzisha kozi ifuatayo:

Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa kinatarajia kuanzisha programu ya awali (NTA level 4) kwa ajili ya wahitimu wa Kidato cha nne ambao wana ufaulu wa jumla ya masomo matano, yakiwemo Fizikia, Hisabati na Kiingereza, aidha mhitimu wa programu hii atapata sifa za kujiunga na astashahada(NTA level 5) na elimu ya msingi ya uangazi wa hali ya hewa.