JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA

NMTC Logo
Stashahada ya Hali ya Hewa
Stashahada ya Hali ya Hewa

Stashahada ya Hali ya Hewa (NTA LEVEL 6) ambayo inatambulika na Shirika la Hali ya Hewa Duniani kama ‘WMO-Meteorological Technician Senior Level’. programu hii ni ya Miaka miwili yenye mihula minne ikihusisha Jumla ya moduli ishirini na nane (28).

Muhitimu wa programu hii anaweza kufanya kazi ya Utabiri wa hali ya hewa, Kuchambua na kutafsiri Taarifa za hali ya hewa na kuzitumia kwenye sekta mbalimbali kama vile: Kilimo, Usafiri wa Anga na Majini na katika Tafiti za Hali ya Hewa na Menejimenti ya Mazingira

Online Help
Kuanzisha Enzi Mpya katika Udhibiti wa Sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini Tanzania