Serikali ya Wanafunzi

Chuo kina serikali ya wanafunzi inayotambulika kama MeSo (Meteorological Students’ Organization) ambayo inaunganisha mawasiliano baina ya wanafunzi na utawala. Mwanachuo aliyesajiliwa na chuo ni mwanachama wa MeSO. Uchaguzi wa kidemokrasia hufanyika kila mwaka kulingana na katiba ya MeSO.