Habari

Imewekwa: 29/05/2023

TMA YATOA UTABIRI WA JUNI HADI AGOSTI 2023

TMA YATOA UTABIRI WA JUNI HADI AGOSTI 2023

“Hali ya joto la bahari katika ukanda wa tropiki ya kati ya bahari ya Pasifiki inatarajiwa kuwa ya juu ya wastani, hali inayoashiria uwepo wa El Niño katika msimu wa Kipupwe 2023, hivyo kutarajiwa kusababisha mchango mdogo katika mwenendo wa mvua nchini hususan maeneo ya pwani”. Alisema Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a Dkt. Chang’a.Kusoma zaidi Bofya hapa