Habari

Imewekwa: 18/02/2022

UTABIRI WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA 2022 KWA MAENEO YANAYOPATA MVUA MARA MBILI KWA MWAKA.

UTABIRI WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA 2022 KWA MAENEO YANAYOPATA MVUA MARA MBILI KWA MWAKA.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa msimu wa mvua za Masika 2022 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza wakati wa mkutano na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya TMA, Ubungo Plaza, tarehe 17/02/2022, Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dkt. Agnes Kijazi alisema maeneo ya nchi yanayopata misimu miwili ya mvua yanatarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani. Kupata habari zaidi bofya hapa