Habari

Imewekwa: 08/06/2020

DKT KIJAZI: MSIMU WA KIPUPWE WANANCHI WACHUKUE TAHADHARI ZA VIPINDI VYA UPEPO MKALI NA BARIDI

DKT KIJAZI: MSIMU WA KIPUPWE WANANCHI WACHUKUE TAHADHARI ZA VIPINDI VYA UPEPO MKALI NA BARIDI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe hapa nchini, unaoanzia Mwezi Juni – Agosti 2020, taarifa hiyo imeelezea athari zinazoweza kujitokeza pamoja na ushauri na tahadhari kwa wadau wa sekta mbalimbali wanaotumia taarifa za hali ya hewa katika utekelezaji wa majukumu yao. Kwa taarifa zaidi. Bofya hapa