MAFUNZO YA MUDA MFUPI YA HALI YA HEWA KILIMO KUANZIA 14//8/2023 HADI 18/8/2023

Imewekwa: Jul 04, 2023


Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa kinapenda kuwatangazia wadau kuwa kitaendesha mafunzo ya muda mfupi ya hali ya hewa kilimo kuanzia tarehe 14//8/2023 hadi 18/8/2023. Kwa yeyote atakaependa kushiriki katika mafunzo hayo anaweza kupakua fomu ya maombi hapa. Fomu ikishajazwa taarifa husika iambatanishwe na nakala ya malipo na itumwe Chuoni kupitia barua pepe nmtc@meteo.go.tz