MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MWAKA 2023/2024

Imewekwa: Aug 12, 2023


Chuo kinakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa kusoma Cheti na Diploma katika Taaluma ya Hali ya Hewa Tehama kwa mwaka wa masomo 2023/2024.Waombaji wote wenye sifa wanaweza kutuma maombi yao kwa kuandika barua au kujaza fomu ya maombi inayopatikana kupitia kiunganishi Bofya hapa