Habari

Imewekwa: 17/05/2019

CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA KINATARAJIA KUSHIRIKI MAONESHO YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI

CHUO CHA TAIFA CHA HALI YA HEWA KINATARAJIA KUSHIRIKI  MAONESHO YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), ni chombo kilichoanzishwa kwa mujibu wa Sheria, Sura ya 129. Kwa mujibu wa Sheria hiyo, Baraza linao wajibu wa kusimamia na kuhakikisha kuwa Elimu na Mafunzo ya Ufundi yanayotolewa nchini yanakidhi vigezo na ubora unaohitajika katika soko la ajira ndani na nje ya Tanzania.Kwa taarifa zaidi Bofya hapa